Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Juzi baada ya simba kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kutoka kenya, leo Mo dewij kaibuka upya
Kutokana na kwamba Dewij sio mgeni wa vilabu na soka la Tanzania, bila shaka drama za simba na yanga anazifahamu vizuri
Hivyo kitendo chake cha kulalama na kuidai simba Sc club pesa aliyokuwa kaiwekeza ni kujidhalilisha yeye mwenyewe kama bilionair kijana Tanzania na Afrika!
Mo wacha kulalama, ni wakati wako sasa uanzishe timu yako na sio ununue!
kwa utaratibu wako huu hufai hata kuidhamini singida united cha kufanya anzisha timu yako tu
Simba hatuhitaji kurudi nyuma kuanza kuzungusha bakuli tena tunahitaji sponsership, watu wawekeze kwa mikataba soka lichezwe watu wapige hela tu
Tumekuchokeni wewe na Manji mnauwezo mkubwa kipesa hivyo mnaweza kuanzisha vilabu vyenu vya soka na mkapiga hela sio kila siku simba na yanga tu