muhogomtamu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 412
- 69
Mimi nina hoja binafsi, kuna taasisi inakuwa na ndugu wa damu kabisa, wameajiriwa hapo, wanaweza kuwa wawili au hata watatu. Utakuta pia kuna Baba, Mama na Mtoto, au mke na mume n.k. Kwa maoni yangu, hali hii hufifisha sana utendaji, hata kama wote hao wanazo sifa. Nadhani busara itatumika kwenye serikali hii ya awamu ya 5 , kuliangalia hili na kuliondoa kabisa kwenye utumishi wa umma.
Nawasilisha
Nawasilisha