Uwanja wa ndege wa Kigamboni unamilikiwa na nani?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Kule Kigamboni on your way to Dege, upande wa kushoto ndani ndani niliwahi kuona uwanja wa ndege mdogo nadhani wanauita air stripes. Ningependa kujua ni nani anayeumiliki uwanja huo...
 
Kule Kigamboni on your way to Dege, upande wa kushoto ndani ndani niliwahi kuona uwanja wa ndege mdogo nadhani wanauita air stripes. Ningependa kujua
ni nani anayeumiliki uwanja huo...[/
QUOTE]
Air strip au air stripes?!
strip a
 
Kule Kigamboni on your way to Dege, upande wa kushoto ndani ndani niliwahi kuona uwanja wa ndege mdogo nadhani wanauita air stripes. Ningependa kujua ni nani anayeumiliki uwanja huo...
Amani Gomvu Airport, right!?
Kwa ushahidi wa kimazingira itakua ni ile Hotel ya kitalii pembeni yake.
 
Hivi zile Rumors za chinichini kua G.W.Bush anataka Kigamboni Mara US wanataka Kigamboni waweke Naval Base sijui iliishia wapi? Au PUTIN alikataa
 
Back
Top Bottom