Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,411
- 3,804
Nimeshtuka sana nilipomsikia moja ya mtangazaji wa Radio Kili fm- Moshi asubuhi ya leo akisema Gaboni na Mali zipo karibu kabisa kama ilivyo Tanzania na Kenya...
Tena alikuwa akitamka kwa msisitizo kabisa na kurudia rudia, eti ndiyo maana Mali walikuwa na Washabiki wengi...
Hawana tofauti na baadhi ya wale wa radio free Africa, ambao kwao jiografia ya Africa hata Tanzania hawaijui vyema...
Ni kawaida kumsikia presenter akisema mkoa wa Bukoba, mkoa wa Songea au Mkoa wa Sumbawanga...   
Duh!!