kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,161
Ushauri wa bure jamani startimes nao washitakiwe maana haiwezekani watumie mitambo yetu ya Tbc kuweka. vifaa vyao kwa level ya terrestrial. halafu bado wanatulipisha kila mwezi
Hivi tbc wanafaidika nini kupitia startimes?
Mbona hii nchi imegeuka shamba la bibi?
Daaah aiseeee
Hivi tbc wanafaidika nini kupitia startimes?
Mbona hii nchi imegeuka shamba la bibi?
Daaah aiseeee