Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Ilikuwa ni mwendo wa chai viandazi na vigodoro mtindo mmoja... Yaani hata hapa naandika nimetoka kugonga biriani la kuku kuna maalimu mmoja kuchukua jiko la pili leo.
Ninaposema ndoa kumi na mbili namaanisha waungwana..... Yaani ikitoka mtaa huu ni mtaa wa pili.
Mangi imebidi nijiulize kunani jamani mbona kuoana huku sikuwahi kushuhudia??? Na hizo ni nilizoalikwa tu, ukipita mtaani unakutana na maturubali na mziki wa kigodoro kila kona...
Jamani ng'iki mbona hivi ndugu zangu waislamu, kunani???