Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshima kwenu wana JF. Nimejaribu kutafakari na kujiuliza ni nini hasa maana na sababu ya viongozi wengi wa Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki kutohudhuria kikao Jana? Imeshuhudiwa nchi 2 tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nani mwamba kati ya hawa mafahari wawili?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabishano ya team US na team Russia majibu yenu yapo hapa.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Salam, Huyu Jamaa kila nikimsikilizaga anavyowadanganya watoto kupitia star tv nacheka sana... Ila kwa namna nyingine najiweka kwenye nafasi ya wale watoto na hasa kwa jinsi viongozi wangu wa...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
-Dikteta -Kukurupuka -Rambirambi Haya maneno yamekuwa maarufu sana msimu huu,kuna watu wakiyasikia wanapata ganzi!Awamu iliyopita maneno hayo yalikuwa hayana impact yeyote!Awamu hii ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, sasa hivi Wilaya za Ulanga na Malinyi hazifikiki. Barabara iko hivi:
0 Reactions
13 Replies
8K Views
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
UNAPOAMBIWA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE NI BABA WA TAIFA LA TANZANIA UWE UNAELEWA. 1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
Wadau wenzangu mnaotumia barabara na hasa za mijini naomba kuwauliza hivi hili suala la dereva kuwasha taa za gari ucku akiwa mjini anaweka FULL LIGHT tena wakati mwingine yupo kwenye barabara...
0 Reactions
71 Replies
15K Views
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro, viongozi wa dini, viongozi wa shirikisho la umoja wenye shule binafsi pamoja na wengine wote waliokamatwa kwenye tukio la kutoa rambirambi kwa...
29 Reactions
191 Replies
15K Views
Usiku huu nimepita kwa wakala kupata huduma ya simu pesa. Nimekuta varangati ambapo kuna mteja alifika (kama saa nzima iliyopita) kuweka salio katika Airtel Money. Amerejea kwa wakala akilalamika...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Wana jf sikatai serikali kuhamasisha wananchi kuchangia maendeleo yao katika sekta tajwa, ila naona kama habari inayohusu ukusanyaji mapato na kupita kiwango si sahihi maana serikali ni kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nmeipenda hii habari.. Ila siyo siri.. Wanaume wa Dar mnatia aibu..
3 Reactions
74 Replies
11K Views
Kile kinachosema kuwa ni usaliti wa wandishi wa habari ndicho star tv wanakifanya kwanzia kesho
8 Reactions
267 Replies
26K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya makampuni makubwa kubadili majina ya umiliki mara kwa mara mfano humu jf kuna bingwa 1 anaitwa HALICHACHI. Halafu kuna kampuni maarufu ya simu Tanzania inaitwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za majukumu Ndugu zanguni! -Naomba kujua mafunzo ya jwtz yanachukua muda gani kuanza mpaka kuisha? -gharama zinazohusiana na mafunzo na vitu vinavyotakiwa uwe navyo . -je mafunzo kwa...
0 Reactions
16 Replies
21K Views
Hakuna Jumapili mbaya kama ya leo, tunaamka asubuhi tunakuta milango wazi, housegirl kaiba kila kitu, sebuleni chumbani kibaya zaidi kamuacha mtoto wetu amelala na mlango upo wazi. Yaani nimeapa...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
TEMESA tafadhalini sana , mnabeba roho na Mali za watu kupitia vivuko vya MV. Magogoni na MV. Kigamboni, tumetoka kulia juzi tu ajali Arusha, tunaomba muepushe ajali inayowezekana katika vyombo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kutoa hoja zinazothibitisha kuwa kumfukuza kazi askari au afisa wa jeshi fulani likiwemo la Polisi ni heri kuliko kumwacha aendelee na kazi; 1.Kumwacha aendelee na kazi ilhali watumishi wa...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Back
Top Bottom