Manispaa ya Ilemela hii barabara hamuioni

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Ni jambo la aibu Sana Kwa barabara inayoelekea kwenye makao makuu ya wilaya na manispaa ya Ilemela Buswelu Kuwa mbaya kiasi hiki
Hasa hapa maeneo ya shule ya msingi Gedeli yani ni mashimo tupu tena makubwa
Je viongozi wa manispaa hamuyaoni Haya mashimo
Hata kama mmeanza kutengeneza hii barabara Kwa kiwango cha lami ikianzia huko wilayani kuja national inabidi pia muirekebishe huku kwingine ambako lami bado haijafika
Ni aibu yani barabara ina mishimo hadi kero hizo kodi mnazokusanya mnazila au ni vipi
Aibuuuu
 
Ahaaaaaa!! Wamelala fyuuu
Barabara ya Mwanza Igombe Je? Na Igombe Kayenze
Mabasi ya Igombe Mwana yanavyofanana na kayenze Igombe hiyo ndo aibu ilipo
 
Ni jambo la aibu Sana Kwa barabara inayoelekea kwenye makao makuu ya wilaya na manispaa ya Ilemela Buswelu Kuwa mbaya kiasi hiki
Hasa hapa maeneo ya shule ya msingi Gedeli yani ni mashimo tupu tena makubwa
Je viongozi wa manispaa hamuyaoni Haya mashimo
Hata kama mmeanza kutengeneza hii barabara Kwa kiwango cha lami ikianzia huko wilayani kuja national inabidi pia muirekebishe huku kwingine ambako lami bado haijafika
Ni aibu yani barabara ina mishimo hadi kero hizo kodi mnazokusanya mnazila au ni vipi
Aibuuuu
Ungeambatanisha na picha tungechangia kilicho chema Sana,maana wengine hatupo Mwanza.
 
Back
Top Bottom