Kelvin Nashon Naftal

Kiukweli kijana huyu anaye chezea Tim ya Selengeti boyz nampenda na jezi yake namba 20 pia kafanana sana na Ngolo Kante lo ni noma sana huyu dogo
Mi nawakubali beki 4"5 ,kipa , 3. Nkomola Na Assad Juma hiyo nimeifanya baada ya mechi ya mali , ninatafanya selection zaidi ngoja niangalie reply ya angola
 
Kwa ufupi Serengeti boys wako SUPA.Abdul Suleiman yule mwenye bandeji kichwani na aliyefunga goli la pili dhidi ya Angola.Baada ya mechi alipimwa mkojo sijui matokeo yake yakoje.Walihisi anatumia dawa za kuongeza nguvu kwenye misuli.Dogo hachoki.Na stars ya wakubwa wajifunze kwa hawa watoto
 
Vipimo vimetoka, yuko swafi kabisa!
 
Back
Top Bottom