Idadi ya kesi na vitendo vya udhalilishaji hapa visiwani kwetu vinazidi kuongexeka inatia aibu nakutisha MZEE wa miaks 56 kumbaka binti wa miaka 6 yaani Ni hatarii
Serikali bado ipo busy kuzuiya watu wenye asili ya Bara huko Visiwani wasipate maendeleo, na kipindi cha ramadhan hata kwa harufu tu ikitoka nje ya nyumba yako unakamatwa. Yanatokea kila siku
Serikali bado ipo busy kuzuiya watu wenye asili ya Bara huko Visiwani wasipate maendeleo, na kipindi cha ramadhan hata kwa harufu tu ikitoka nje ya nyumba yako unakamatwa. Yanatokea kila siku
Na hili jambo ni kunyima uhuru wa mtu mwenyezi mungu hapimi mema au mabaya kwa Kula mchana, staha ya kutokula hadharani kwa wasiofunga ni mhimu kuzingatiwa kwani kuna wagonjwa na sababu mbali mbali zinaweza kusababisha mtu asifunge
Ni ngumu kupata usawa wa kijinsia Zanzibar sababu ya dini nafikiri.
Dini ya kiislamu inawakandamiza sana wanawake.Utasikia wanasema wanawake wana haki zao ila siyo sawa na haki za wanaume.
Huyo aliyebaka binti wa miaka 6 bila shaka alitaka kuvunja ile rekodi ya kumbaka binti mdogo zaidi wa miaka 9.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.