screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....