DAWASCO MNASUBIRI KUTUMBULIWA NDO MFANYE KAZI?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Hivi hamuoni maji yanavyomwagika hovyo huku mtaaani.. Au tuanze kufuga kambale barabarani... Nasubiri Mhe. Raisi awatumbue ndiyo mtapata akili.
 
Sasa mbona hutoi taarifa kamili mitaa ipi hiyo maji yanakomwagika?
 
Back
Top Bottom