Habari wanaJF.
Nimetafakari peke yangu bila majibu nikaona ni vyema niulize humu huenda tukatambua ilipo faraja ya kweli ktk awamu hii ya tano kulingana na mfululizo wa matukio nchini tangu awamu hii ianze kama ifuatavyo:
1.Kuminywa kwa vyombo vya habari nchini huku tukiaminishwa kuwa rais HAKOSEI na hivyo hapaswi Kukosolewa,pamoja na kupigwa kwa wanahabari wakiwa kazini,kukamatwa kwa wamiliki wa vyombo vya habari,kuzuiliwa na kufungwa kwa baadhi ya magazeti na vituo vya redio bila kutambua kwamba mambo haya HUATHIRI MOJA KWA MOJA AJIRA ZA WATU NA MAISHA YAO.Kuvamiwa kwa wanahabari wakiwa kazini kwao na mitutu ya bunduki na kutishia uhai wao bila tamko mahususi la serikali,Iko wapi huruma ya serikali hii???
2.Maafa ya kitaifa mfano Tetemeko bukoba,mafuriko tanga, zanzibar na maeneo mengine nchini, ajali ya karatu iliyoua wanafunzi kisha serikali hii ikabadili matumizu ya rambirambi za wafiwa kuandaa shughuli iliyowafanya wauaminishe umma kuwa KINANA yuko huru: ziko wapi rambi rambi za tetemeko bukoba??Iko wapi huruma ya serikali hii???
3.Ziko wapi ajira za wahitimu wa ualimu na udaktari tangu serikali hii ianze kazi??, iko wapi mikopo ya elimu ya juu tangu awamu ya tano ianze kazi?? viko wapi viwanda vilivyotarajiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana?? Iko wapi kauli mbiu ya [HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]! Ikiwa waliowengi hawana hiyo kazi? Yako wapi matarajio mema tuliyonayo wananchi wakati awamu hii ilipoanza kazi? Iko wapi huruma ya serikali hii???
4.Uko wapi uchumi ulioimairika tangu kuanza kwa awamu katika maisha yetu? Ziko wapi leo tafiti zenye ukweli ktk taifa letu? wako wapi wenye kusema ukweli ndani ya serikali kwa maslahi ya wananchi?
Uko wapi upole wa mh.rais alipoomba kura 2015 kwa unyenyekevu??
Yuko wapi leo aliyesema TANZANIA HII NI TAJIRI KISHA TUKAMUOMBA ZUMA PESA ZA RELI???
Yuko wapi leo hii aliyemkejeli mh.JK mrisho kwa hewa zake kisha yeye akawa mbora kushinda JK??
Yuko wapi aliyesema atatuvusha leo hii???
Yuko wapi aliyesema kama una cheti cha kufoji utaachia ngazi bila kujali nafasi yako? Yuko wapu aliyeahidi neema kwa watumushi wa umma??
Yuko wapi aliyeahidi milioni 50 kila kijiji nchi nzima? Iko wapi huruma ya serikali hii kwa wastaafu watarajiwa wenye vyeti feki???
5.Iko wapi huruma ya serikali hii ya awamu ya tano kwa matukio ya mauaji kibiti na pwani kwa ujumla?Iko wapi huruma ya serikali hii kwa wastaafu wake wanaotishiwa bunduki hadharani? Iko wapi huruma ya awamu kwa vifungo haramu kwa viongozi wa kisiasa na kidini? Iko wapi huruma ya serikali hii kwa matukio ya utekaji na utesaji nchini?
Iko wapi serikali bora iliyokuwa ikiwaomba wananchi kuiombea kwa Mungu ili iwe njema na imara?
Iko wapi faraja ya serika kwa wananchi wake???
TAIFA LINAHITAJI HURUMA NA FARAJA TOKA SERIKALINI KWA KILA WAHANGA TANGU AWAMU HII IANZE KAZI!!@
@[HASHTAG]#HAPAKAZI[/HASHTAG] TU IMETOWEKA!!!