kondoowasufi
Senior Member
- Aug 19, 2014
- 190
- 182
Wadau najua Kwa kuwa wengi humu ni wafuatiliaji Wa mambo mnaweza kusaidia hatma ya wenye incomplete vyeti...
Kiuhalisia baadhi ya orodha ya uhakiki serikali iligundua makundi matatu makuu kV
1. Vyeti halali
2. Vyeti vyenye utata
3. Incomplete...
Hoja ni hawa incomplete baadhi ya manesi na walimu wanadai bado hawajajua hatma yao juu mshahara Wa mwezi huu maana vyeti vyao vyote viliwasilishwa Kwa Afisa utumishi Wa halmashauri husika lakini majibu yanakuja yakionesha hawajawaailisha vyeti. Baadhi yao wanadai baadhi ya vyeti vinehakikiwa km vya diploma lakini vya sekondari havikufika mahala husika.
1. Swali kosa ni LA Mtumishi au Afisa utumishi?
2. Tunaiomba serikali kabla ya kuwaadhibu wenye vyeti incomplete bora wajiridhishe zaidi ili haki itendeke...
Nb. Pongezi Kwa serikali Kwa kuondoa watumishi hewa. Pia maafisa utumishi kuweni makini na utunzajj Wa nyaraka za watumishi wenu...haitakuwa jambo jema kumuadhibu Mtumishi mwenye cheti halali kinachoitwa incomplete...