Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,585
Jamani sijui tunakoelekea ni wapi!
Leo nilienda bank flani kutuma pesa Uingereza(paundi 1000) kwa mdogo wangu. Sasa jamani nimekutaka na maswali kibao mara eti unaemtumia huko anafanya nini? Nikawajibu ni mwanafunzi. Mara eti mwambie atume admission letter, mara sijui passport, mara atume kitambulisho cha chuo.
Jamani huwa natuma mara kibao ila safari hii ndo nimekutana na vikwazo, ikabidi anitumie kitambulisho chake cha chuo.
Nikauliza why this,eti wananijibu Rais Magufuli hataki hela zitoke, eti nchi haina pesa.
Jamani hii serikali msitupangie matumizi ya pesa zetu.