Hii ni hali halisi ya barabara ya mbezi beach B katika kata ya kawe, pembezoni ya shule ya F.K Intetntional. Hii barabara huwa inatengenezwa na wasamaria wema wakazi wa mbezi kila itokeapo mvua tu haifai kupitika. Sasa wapita kwa magari utumia njia ya mkato kuchepuka nje ya geti la shule hii na ni hatarishi kwa kweli. Wanafunzi wanaweza kuhatarisha maisha yao.