Jana katika vibanda vya Nyakato National TRA walipita wakikusanya kodi ya vibanda kuwa kila kibanda ni Ttshs.375,000. Hawaelezi ni sheria gani inayotumika kukusanya kodi hiyo. Kama ni kodi za nyumba (Property Tax) vibanda siyo nyumba. Natarajia kwenda Mahakamani ili watafsiri ni sheria gani inayotumika kukusanya kodi husika.