whatsapp online
Member
- Jan 17, 2017
- 86
- 95
Suala la mkoa wa Arusha na wizi na bangi(dawa ya kulevya) ni tatizo kwa mkoa huu. Mimi nimesomea Arusha japo sio mzawa wa mkoa huu, nimekutana na vijana wengi wenye roho za kinyama sijapata kuona.
Kuna vibaka ambao ukikutana nao kwanza hawana akili za kawaida. Sasa najiuliza serikali imeshindwa kabisa kudhibiti hawa vijana? Jeshi la polisi lipo na sioni kazi yake, watu kila siku wananyang'anywa simu, mikoba na mali nyingine mchana kweupe na hata ukute maaskari ambao ni walinzi wetu wako karibu na hakuna wa kukusaidia.
Watalii wanaibiwa kila kukicha na hayupo wa kuwasaidia,,,, sasa nyie viongozi Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya hizo za Arusha mjini na Arumeru mnasaidiaje wananchi kuhusu hili suala? Nadhani huu mkoa raisi wetu atafute namna ya kuusaidia.
Watu wa Arusha wanajisifia upumbavu,,, cha arusha (bangi). Afu hakuna watu wanapenda sifa mikoani kama wa Arusha,,,, ukiangalia walikotoka ndo ivo tena. Bora hata wa Dar na panya road,, jeshi la polisi la Dar linafanya kazi.
Wanaweza kudhibiti kwa kiasi kuliko wa Ar,,,, hakuna kitu. Nadhani kuna haja ya kuwapeleka kijeshi hawa watu.