Gwajima awajibu waliomtabiria kifo

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Gwajima awajibu waliomtabiria kifo

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatakufa hadi pale atakapotimiza lile lililomleta duniani.

Ameyasema hayo leo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake ikiwa ni siku chache baada ya mhubiri mmoja wa kimataifa kutabiri kuwa Gwajima atakufa ifikapo 2018.

“Mungu ndiye anajua siku saa na dakika ya kufa kwangu si mwanadamu,” amesema Gwajima

Chanzo: Mwananchi


 
Mambo ya dini yamepitwa na wakati. Dini ya kikristo ilitumika kukandamiza,kudanganya na kuvamua na kupora HAKI za watu tangu mwanzo wa dini hiyo.I hate the concept of DINI.Ni upuuzi mtupu.
 
Hawa wasakaonge hawa, wachawi hawa kabisa yaani mtu akikuuzi tu unamwambia atakufa. Who are you? Wakristo mnatia aibu jamani.... Kwanza MTU kajipa unabii sijui nabii gani hana kitabu wala nini kazi kupiga ramli tu, ingekua utabiri ndio unabii basi kina marehemu Shaikh yahya sijui tungewaitaje? Gwajima ni msaka tonge na huyo bushiri wote ni wasaka tonge tu. Someni dini yenu vzr msiburuzwe na hao wafanya mazingaombwe wapiga pesa.
 
Back
Top Bottom