Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
Kwa muda wa siku kadhaa sasa Mheshimiwa Lazaro Nyalandu amekuwa akitoa taarifa mbalimbali kuhusu vijana wetu waliojeruhiwa katika ajali huko Arusha. Taarifa hizo zilianza kutolewa kuhusu safari yao kwenda Marekani kutibiwa na sasa taarifa zinazoletwa na Mh Nyalandu zinazungumzia aina ya matibabu wanayopewa huko na hata picha zao watoto wakiwa attended na madaktari.
Pamoja na nia njema sana aliyonayo Mh Nyalandu, najaribu tu kujiuliza kama maadili ya kazi za kitabibu yanaruhusu mtu yoyote tu kutoa details za mgonjwa kwa umma.
Pamoja na nia njema sana aliyonayo Mh Nyalandu, najaribu tu kujiuliza kama maadili ya kazi za kitabibu yanaruhusu mtu yoyote tu kutoa details za mgonjwa kwa umma.