Naenda Nairobi

sambeke

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
713
652
Wakuu J 5 naenda Nairobi na kimwana wangu ila tunapenda kutembelea sehemu za club na zile za kujiachia hata zile za kimalaya flani mwenye ufahamu wa hayo maeneo anijuze Asanteni
 
Haha.. ukifika Nai tafuta wazeya wambie wakupeleke madhouse ukiona hapafai nenda westland kuna K1 au pavement huko utakutana na manzii wengi watakupa kampani na shemeji.

Pakikushinda mtafute Saint Ivuga akupeleke kayole estate kuna band ndiyo mitaa yake.

Cc Saint Ivuga
 
Haha.. ukifika Nai tafuta wazeya wambie wakupeleke madhouse ukiona hapafai nenda westland kuna K1 au pavement huko utakutana na manzii wengi watakupa kampani na shemeji.

Pakikushinda mtafute Saint Ivuga akupeleke kayole estate ndiyo mitaa yake.

Cc Saint Ivuga

Nikionaga huu mwandiko nachekaga peke yangu
 
Wakuu J 5 naenda Nairobi na kimwana wangu ila tunapenda kutembelea sehemu za club na zile za kujiachia hata zile za kimalaya flani mwenye ufahamu wa hayo maeneo anijuze Asanteni
Ngoja waje malaya wakushauri
 
Unacheka nini waly!
Hivi wewe jamaa kuna mwanamke ambaye hakujui humu ndani?
Yani kama waly kashajaa hapo unasukuma mlevi tu.
Kama hutaki niachie mtoto huyo ila msaundishe kwanza manake mimi domo z.
Akishakubali wewe niite tu
 
Haha.. ukifika Nai tafuta wazeya wambie wakupeleke madhouse ukiona hapafai nenda westland kuna K1 au pavement huko utakutana na manzii wengi watakupa kampani na shemeji.

Pakikushinda mtafute Saint Ivuga akupeleke kayole estate ndiyo mitaa yake.

Cc Saint Ivuga
Mmasai wa mjin ktk ubora wake wa tabia zile zile
 
Hivi wewe jamaa kuna mwanamke ambaye hakujui humu ndani?
Yani kama waly kashajaa hapo unasukuma mlevi tu.
Kama hutaki niachie mtoto huyo ila msaundishe kwanza manake mimi domo z.
Akishakubali wewe niite tu
Achana na hizo. Mpe jamaa viwanja nishamtajia baadhi.

Nitamwita jirani ukiendeleza haya
 
we tembea tu mitaa ya city centre na tom mboya street kila hotel au bar utayoiona ujue usiku inakuwa club!! nairobi raha sana
 
MK254 unaitwa huku.

Back
Top Bottom