My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,293
Dada mrembo kutoka Kenya Nairobi Claire Njoki Kibia aliyekuwa akifanya kazi ya ujambazi Kwa kutumika ktk kutega wanaume na wakati mwingine yeye mwenyewe kwenda frontline, ktk kufanya ujambazi, aliuawa mapema wiki hii na kuzikwa Kama mbwa.
Claire Kibia enzi za uhai wake.
Mrembo huyo alisumbua Sana enzi za uhai wake, hakuna mkenya ambaye hakuwa anajua habari za Claire.
Jamaa na marafiki wakiwa msibani.
Jeneza la Claire likipelekwa kuzikwa.
Inadaiwa marafiki zake wengi waliogopa kwenda Kwa hofu ya kukamatwa na police maana rafiki zake wengi ni majambazi Sugu.
Inasemekana hata waliohudhuria msiba huo hawakuwa na uchungu wowote na wengi walikuwa majirani.
Hatimaye mrembo Claire alizikwa, ama kweli mshahara wa dhambi ni mauti.
Mara baada ya mazishi ,baadhi ya waombolezaji ambao walisemekana kuwa ni majambazi wenzake na Claire walikamatwa na askari kanzu waliokuwa pale msibani wakijifanya Kama waombolezaji wengine.
"Laleni chini au la tunawapiga risasi "
Police mmoja aliyekuwa kavaa kiraia alisikika akitoa amri huku akiwa kawanyoshea bastola watuhumiwa.