Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkazi wa kijiji cha Maligisu Wilaya ya Kwimba, Mabindo Paul (33), amefariki dunia baada ya kukatwa sikio. Kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Imetembea katika uzao wake, na baadhi ya jamii hasa hapa Bongo wanatembea na baraka hizo kwani ni uzao wa Abraham.....Kwenye ule mlima mkubwa,na kwa jirani ni Wakikuyu,kule kwa kina Haile ni...
1 Reactions
2 Replies
789 Views
Anaandika Comred Malisa Godlisten Ni kweli kwamba Muhongo ana makosa, but jambo ambalo watu wengi wanasahau ni kuwa si Muhongo aliyeleta utaratibu wa kuchenjua na kusafirisha mchanga nje ya nchi...
14 Reactions
40 Replies
4K Views
Nakumbuka Saga la kupandisha umeme Tanesco na jinsi Muhongo alivyo mnanga mramba na taarifa yake na kupelekea kutumbuliwa kwa suala ambalo wizara lilijua. Leo ule msemo wa what goes around comes...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Ama kweli "uzoefu ni mwalimu mzuri" Ni uzoefu wa Mourinho ndo umetupeleka UEFA - 2017/2018, Glory Glory Glory Manchester united. Like kama tuko pamoja
2 Reactions
1 Replies
744 Views
Sote tunajua uchimbaji wa madini unafaida kubwa sana kuliko kitu chochote kile duniani kwanini serikali isiunde kampuni ya uchimbaji au kuunganisha matajiri wa Tanzania ili waweze kuwekeza kwenye...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
2 Reactions
97 Replies
13K Views
Hey
Habari zenu
0 Reactions
13 Replies
914 Views
Nimesikiliza kwa makini na sipati jibu,hivi kama mtu anavamia atm na kila atm kuna camera kwa nini wasitoe picha? Majambazi wengi wanauliwa kati yao wako waislamu na wakristo ni kwanini mashekhe...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Mnaotumia app ya itv vp kuhusu ulaji wa mb? app hii inakula mb? Anaeitumia tupe ushuhuda maana nataka nianze kuitumia
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waungwana, Nawezaje kueka tangazo kupatana? Nimejaribu nimeshindwa, naomba kuelekezwa kwa anaefahamu. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naweza kusema Rais wetu amedhubutu,kama ni kugusa amegusa kule kwenyewe kabisa. Naimani pesa kupotea mtaani ni mapito ya muda tu huku mifumo ikiwekwa vizuri kwa ripoti ya leo kuna watu wameifaidi...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi Hawa Timu Ya Masoko Ndio Wameamua Kuja Na Slogan Tata Kama Hii, Yaani Neno Tigo Tu Bado Lina Ukakasi, Sasa Jaza Ujazwe Tena[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Hapa nawazungumzia Prof Assad na Prof Mruma kama sampuli
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Huu ujinga wa kulipia unachosha tukiwa analogia tulikua tunaenjoy sanaa maana channel full raha yaani sahivi kiukweli hamna jipya badala ya kuenjoy ni kilio tu Turudi tu analogy Analogy ilikua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba tu hili sakata LA mchanga wa madini liishie kama watanzania tunavyozani na isije ikawa kwa jinsi nyingine baadae maana hata Mungu atanyamaza kwakweli
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Mimi nimehudhuria mafunzo ya jkt mwaka 2013 na nakumbuka vitu vyote hivi ulikuwa unavikuta hukohuko yaani ilikuwa juu ya serikali na bado posho mnapewa ................... JKT linawataka vijana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimemsikiliza Prof. jinsi walivyopata sampuli za 'makinikia' kwa njia ya 'probability sampling'. Lakini nimekuwa na maswali mengi kufuatia maelezo yake. Maswali hayo sijayaweka hapa kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakati upelelezi ukiendelea kufanya huko ikwiriri juu ya tuhuza za mauaji yanayoendelea; Naomba msipuuzie kuchunguza wale wafanyabiashara waliowahi kujihusisha na biashara ya mikaa maeneo hayo...
1 Reactions
2 Replies
977 Views
Leo nimesikiliza mahojiano kati ya makonda (DAB) na kituo cha televishen cha startv. Mie sitajikita sana kwenye mambo ya vyeti na jina ila kwenye swala la computer yake kutumika ndani ya kituo cha...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…