nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,742
- 12,035
Imetembea katika uzao wake, na baadhi ya jamii hasa hapa Bongo wanatembea na baraka hizo kwani ni uzao wa Abraham.....Kwenye ule mlima mkubwa,na kwa jirani ni Wakikuyu,kule kwa kina Haile ni wote(selasie) hapo juu ya ziwa ni Tutsi,kule kwa kina Heita ni Zulu,Baadhi Ya Arabs,Hindis,Chinese type of Model and Few Anglo Saxons.
Hebu fikiri then tiririka,
Alamsiki
Hebu fikiri then tiririka,
Alamsiki