Kwa mnaotumia app ya itv jee inakula mb sana?

Kwa mnaotumia app ya itv jee inakula mb sana?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Mnaotumia app ya itv vp kuhusu ulaji wa mb? app hii inakula mb?
Anaeitumia tupe ushuhuda maana nataka nianze kuitumia
 
Mkuu inakula Mb ! haina mfano.ila uzuri wake zikiisha unanunua mb zingine,halafu Dude linaamshwa.
 
Mnaotumia app ya itv vp kuhusu ulaji wa mb? app hii inakula mb?
Anaeitumia tupe ushuhuda maana nataka nianze kuitumia
Yaaani haili hata kidogo mkuu tumiakwa uhuru kabisa 5MB hadi haabari za michezo na utabiri wa hali ya hewa, na unaweza mchungulia kikeke kidogo kama nusu saa hivi - si kweli.
 
Back
Top Bottom