Mimi nimehudhuria mafunzo ya jkt mwaka 2013 na nakumbuka vitu vyote hivi ulikuwa unavikuta hukohuko yaani ilikuwa juu ya serikali na bado posho mnapewa
...................
JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo:
1.Bukta ya rangi ya ‘Dark blue’ yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
2.Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
3. Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari
4.Soksi ndefu za rangi nyeusi.
5.Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
6. Track suit ya rangi ya kijani au blue.
7.Nauli ya kwenda makambini na kurudi majumbani