Msukuma_De_Great
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 1,185
- 972
Leo nimesikiliza mahojiano kati ya makonda (DAB) na kituo cha televishen cha startv. Mie sitajikita sana kwenye mambo ya vyeti na jina ila kwenye swala la computer yake kutumika ndani ya kituo cha Clouds.
Ni kivipi kiongozi wa serikali computer yake kutumika ndani ya kituo binafsi hata kama ni mambo binafsi kwani documentary aliosema alikua anaiandaa inahusu utumishi wa umma ina maana iyo computer ina taarifa za kiserikali kwa hili pia na shaka na weledi wake.
Mfano tuliona Hilary Clinton alivyopata shida swala la email binafsi kutumika kwa mambo ya kiserikali. Hili ni swala la ushikaji kwa mambo ya umma..
Kivipi siri za serikali zitashindwa kusambaa kama computer ipo clouds kwa hili pia makonda(DAB) nimekupa zero.