Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Ni kweli kwamba Muhongo ana makosa, but jambo ambalo watu wengi wanasahau ni kuwa si Muhongo aliyeleta utaratibu wa kuchenjua na kusafirisha mchanga nje ya nchi. Ripoti ya Kamati inaeleza kuwa uchenjuzi wa dhahabu na usafirishaji wa mchanga nje umeanza tangu 1990's. Je ni mawaziri wangapi wamepita tangu kipindi hicho hadi sasa?
Ukitafakari utagundua Muhongo ni tatizo dogo ila tatizo kubwa zaidi ni mfumo. Kwahiyo busara ni kuondoa mfumo wote (serikali ya CCM) si kumuondoa mtu mmoja anayeitwa Profesa Muhongo. Leo tumesikia kuhusu madini tumestaajabu, tukisikia kuhusu utalii, uvuvi, gesi etc tutachanganyikiwa. Kwa kifupi ni kuwa mfumo wote umeoza. Sio madini peke yake. Kitakachotuokoa ni kupata mfumo mpya, sio waziri mpya wa madini.
________________
Upinzani umekua na agenda hii ya mikataba miaka nenda rudi. Dawa ni kufumua mikataba na kuizuia ccm kuingia hii mikataba.