Waislam waliosoma vizuri wana mchango mkubwa kwa taifa

Bwana Mkubwa una mletea uchokozi sio?
Ratio yake ya kuwateu itabaki ile ile yaani
1;10000 (mmoja kwa elfu kumi)
 
Wanasema 'think before you leap'. Umeandika kwa ufupi, lakini mengi yamejificha. Wasomi wazuri wa madhehebu yaliobaki na waislamu ambao hawakusoma vizuri wanaihujumu nchi? Kiwango cha elimu ndio kipimo cha msaada mzuri kwa nchi? Yapo mengi, lakini ushuhuda uliopo, ni wa ww kujiona duni mbele ya jamii.
 
Back
Top Bottom