Tetesi: Kuna mtu aliyetumbuliwa cheti kajinyonga na kumwachia ujumbe magufuli mwenye habari zaidi tafadhali

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
 
UJUMBE WA MAREHEMU:
"Mwambieni Mh Rais Kwamba nimeamuwa kujinyonga Kwa Sababu Ya Vyeti Feki, kazi ndiyo sina tena, na watoto njaa na sina cha kuwalisha, bora nife tu!".

Ni sehemu ya ujumbe unaosemekana kaandika marehemu kabla ya kujinyonga.
 

Attachments

  • IMG-20170523-WA0014.jpg
    IMG-20170523-WA0014.jpg
    126.8 KB · Views: 70
Huyu alistahili kutumbuliwa, ndani ya ujumbe mfupi kakosea kuandika mara kadhaa. Vijana wanasotea ajira na hawajui pa kuzipata licha ya kuhitimu vizuri mtu mwingine anakalia nafasi asizostahili.
 
Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
Sasa kama vyeti vinachongwa kwa NUSU SAA Stationary, kuna haja gani ya KULIPA ADA YA MAMILIONI International School of Tanganyika au Feza Schools kwa MIAKA 20 ??
 
Unajua ndugu hawa jamaa yaan waliona ccm kama ndio maisha yao sisi tukiwaambia ccm ni tatizo wao walitutukana sanaa na elimu yetu ya la saba hii daaa tulikomaa ila wapate akili hawa walimu wapevuke .kiakili
Kuna mtu kwenye thread flani humu kuna baadhi ya sehemu za bandiko lake alikuwa anaandika (sio wote). Nafikiri hata sisi tunafaa kuiga hii.
 
Back
Top Bottom