Ikwiriri; polisi chunguzeni wafanyabiashara wote Waliowahi jihusisha na biashara ya mkaa na mbao.

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,545
22,050
Wakati upelelezi ukiendelea kufanya huko ikwiriri juu ya tuhuza za mauaji yanayoendelea;
Naomba msipuuzie kuchunguza wale wafanyabiashara waliowahi kujihusisha na biashara ya mikaa maeneo hayo; wapo waliwahi taifishwa Mali zao pamoja na magari yao ya mikaa walipokamatwa.
Ni vyema mkachunguza wamiriki wote Wa Mali zilizotaifishwa ili mjiridhishe yawezekana wakawa ni miongoni mwa waharifu wanao 'revenge "
 
Back
Top Bottom