bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,678
Naweza kusema Rais wetu amedhubutu,kama ni kugusa amegusa kule kwenyewe kabisa.
Naimani pesa kupotea mtaani ni mapito ya muda tu huku mifumo ikiwekwa vizuri kwa ripoti ya leo kuna watu wameifaidi keki ya nchi hii ila muda sio mrefu tutaanza kufaidi keki wote,keki ya taifa lazima iliwe na Watanzania wote.
Hongera sana, Watanzania tupo nawe bega kwa bega kwa mambo ya msingi kama haya.