Sijaelewa vizuri njia ya kupata sampuli za 'makinikia'

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Nimemsikiliza Prof. jinsi walivyopata sampuli za 'makinikia' kwa njia ya 'probability sampling'. Lakini nimekuwa na maswali mengi kufuatia maelezo yake. Maswali hayo sijayaweka hapa kwa sababu yaweza kujibiwa na hiyo taarifa kamili kama Prof. aliposema ili wananchi wapate details za taarifa ni vyema wakapewa nakala kama President Dr Magufuli ataridhia.

Hivyo ombi langu kwa serikali kutuwekea full report ya utafiti wa makinikia, ili maswali yetu yapate majibu sahihi.

 
Back
Top Bottom