Kwa hili bora turudi tu analojia

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Huu ujinga wa kulipia unachosha tukiwa analogia tulikua tunaenjoy sanaa maana channel full raha yaani sahivi kiukweli hamna jipya badala ya kuenjoy ni kilio tu
Turudi tu analogy
Analogy ilikua raha sana jamani sio siri wengi wetu ni mashahidi
Hatuenjoy digital kabisa kama nchi nyingine
 
Likitanda wingu tu mnazima tv maana ni kero. Hasa Azam na Continental. Tena ikijaribu kunyesha utadhani imenyesha kwenye tv. Unaanza kuona manyunyu tu kwenye tv. Tumechoka ni bora turudi kule zama za mawe za mwisho
 
Kuna nchi unachagua kabisa uwe analojia au dijitali...Hapa kwetu wapigaji wengi ndio maana hawataki tuchague
 
Back
Top Bottom