Tangazo La Tigo Jazwa Ujazwe Lina Ukakasi

kinjumbi one

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,683
2,000
Yani wameacha kusema jaza ujaziwe, wao wamekuja na jaza ujazwe!!!? Hakika wamedhamiria.
 

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,314
2,000
Jaza ujazwe sio Kiswahili sahihi hata kidogo. Wewe unajazwaje? Kinachojazwa ni simu yako au salio lako la pesa SIO WEWE !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom