Hapo Alipo Felchemi Mramba formed DG TANESCO

kisinja

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
241
295
Nakumbuka Saga la kupandisha umeme Tanesco na jinsi Muhongo alivyo mnanga mramba na taarifa yake na kupelekea kutumbuliwa kwa suala ambalo wizara lilijua. Leo ule msemo wa what goes around comes around unethibitika. Kikombe alichokinywea Mramba ndicho alichokinywea Muhongo leo
 
kwa hiyo wewe ndiyo Mramba au amekutuma?
 
Yupo ana fanya kitu anacho kipenda
 
Attachments

  • IMG_2372.JPG
    IMG_2372.JPG
    154.3 KB · Views: 35
Muosha huoshwa, Mramba hakuwa na kosa lolote lile la kumfukuzisha kazi. Alifanya vile alivyostahili kama CEO wa shirika kubwa nchini kuongeza bei ya umeme kwa wateja wao baada ya kuona shirika analoliendesha limeelemewa na gharama kubwa za kila siku ili kuliendesha shirika hilo huku mapato yakiwa kiduchu. Kama utakumbuka TANESCO wananunua unit moja ya umeme kutoka kwa suppliers wao kwa shilingi 544 huku wao wakiuza kwa shilingi 277 tu.

Cha kushangaza pamoja na Magufuli kujua hili la TANESCO kuendeshwa kwa hasara kubwa baada ya kutaarifiwa na CAG mwaka nenda mwaka rudi hadi sasa hakuna hatua zozote alizochukua ili kuikabili hali hiyo ambayo ni tishio kubwa kwa uhai wa TANESCO.

Nakumbuka Saga la kupandisha umeme Tanesco na jinsi Muhongo alivyo mnanga mramba na taarifa yake na kupelekea kutumbuliwa kwa suala ambalo wizara lilijua. Leo ule msemo wa what goes around comes around unethibitika. Kikombe alichokinywea Mramba ndicho alichokinywea Muhongo leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom