Katika hotuba yako kuhusu matokeo ya kamati ya kuchunguza mchanga ulio katika makontena, hukuzungumzia hatua zozote zinazopasawa kuchukuliwa dhidi ya kampuni ya Acacia iliyoshiriki kwa kiwango...
Yesterday I drove from Singida to Nyakanazi and I was pulled over twice for speeding. I am certain I did not exceed 50 within the zones but both times the officers insisted. The second time the...
Mnamo mwaka 1997 na 2015 wapinzani wa nchi hii waliweka rekodi mbaya kabisa kwa kupitisha miswaada ya sera ya madini na 2015 wakapitisha muswada wa sera ya gesi na petroli
Ni miswaada mibovu isiyo...
Leo mchana huu kumetokea tetemeko dogo mkoani Mwanza, Tetemeko liameanza sa 6:56-6:57 limedumu kwa sekunde zisizozidi 40. Watu wengi wameonekana kukimbilia mahala ambapo wanaweza kujistiri...
Mzee Francis Maige maarufu Ngosha, aliyechora nembo ya Taifa ya Bwana na Bibi amehamishiwa Hospitali ya Muhimbili (MNH) akitokea Hospitali ya Amana alikokuwa amelazwa tangu jana (Jumatano)...
Polisi wa Kuwait wamemkamata njiwa aliyekuwa amebeba dawa za kulevya aina ya Ketamine ambaye alikuwa amenasa kwenye bati la jengo la forodha katika Bandari ya Abdel iliyopo mpakani mwa Kuwait na...
Baada ya taarifa kwa watumishi wa umma kutoka utumishi kuwa utaratibu wa mishahara sasa kulipwa kutoka benki kuu kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kwa watumishi hawa.
-imetakiwa taarifa za kibenki za...
Makosa ambayo waliyafanya wazazi wetu sisi vijana haitakiwi tuje tuyarudie.
Lakini hiyo nimeona imekuwa ni tofauti sana kwa vijana wa kitanzania.
Nikiangalia majamaa wengi ambao wananizunguka...
Geita.Wachimbaji wadogo wanne wamekufa baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya nyamalimbe yaliyopo wilayani Geita mkoani hapa.
Watu saba walifukiwa ambapo kati yao watatu...
Kahama. Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack umezuiwa kuingia katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu alikokwenda kukagua iwapo uzalishaji unaendelea bila kuwepo kwa Maofisa wa...
Kama ilivyo facebook, Instagram,whatsapp, Twitter au Forums nyingine
Watu wanaweza kuweka avatar za wapenzi wao, watoto au watu wanaowakubali.
Kwenye hili jukwaa imekuwa tofauti sana ukiweka...
Salam,
Nimemskia prof. Mruma Jana alipokuwa anaunguruma pale Ikulu Wakati wa uwasilishwaji wa ripot ya makinikia.
Ametaja madini mengi sana ambayo ni sehemu ya kinachoitwa machanga unaokwenda...
Nianze kwa kumpongeza rais wetu Dr. John Pombe Magufuli kwa kuunda tume ya kubaini kilichokuwa kinaendelea kuhusu madini yetu hongera sana, ila upande wa pili naomba nimkumbushe zoezi la vyeti sio...
kampuni ya nokia imeanza tena kuuza nokia 3310 baada ya kupotea muda mrefu
cm hizo zimekuja na internet ya 2G na.camera megapics 2.2
pia zina uwezo wakuka na chaji masaa 22 pia yaweza kukaa...
TUTANYOLEWA BILA MAJI: MHE. TUNDU LISSU
Tundu Lissu anasema Tanzania ni mwanachama wa 'The MIGA Convention' hivyo ukiwa mwanachama ukachukua mali za wawekezaji wao utapelekwa kwenye mahakama za...
Kuna hii upatu Mpya umeanza unaitwa AMWA au amka mwanamke a new PONZI scheme ni kua serikali haioni au had I wananchi waumie kama case ya desi ndo iingilie kati...mbaya zaidi hawa Jamaa hawana...
Salama zenu wote.
Nilikutana na watu wakizungumzia kuhusu kichwa habari hapo. Wakisema kuwa unanunua something like a package alafu mwisho wa mwaka unalipwa kiasi fulani cha pesa.mfano,walisema...