Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
Salama zenu wote.
Nilikutana na watu wakizungumzia kuhusu kichwa habari hapo. Wakisema kuwa unanunua something like a package alafu mwisho wa mwaka unalipwa kiasi fulani cha pesa.mfano,walisema kuna package inauzwa laki tatu na nusu ambapo mwishoni utapata 1250000.sikuelewa vema na nilipojaribu kugoogle ndo nikakuta kuna pia kitu kinaitwa onecoin. je,hiyo onelife ni nini kwa mwenye ufahamu? na je uhusiano wake na onecoin ni nini?