hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Makosa ambayo waliyafanya wazazi wetu sisi vijana haitakiwi tuje tuyarudie.
Lakini hiyo nimeona imekuwa ni tofauti sana kwa vijana wa kitanzania.
Nikiangalia majamaa wengi ambao wananizunguka wanawaza kuzaliana tu hata bila kuwa mipango ya maisha baadaye.
Unakuta mtu ni bwana mdogo tu utasikia anajisifia anawatoto watatu na hapo bado hajaoa.
Ukiwauliza nyinyi majamaa mbona mpo less kihivyo majibu watakayo kupa utasikia nyinyi ndani mwenu mngezaliwa wachache ww ungesipo zaliwa.
Ukimwambia jamaa saizi maisha magumu na maisha yamebadilika sana na kila kitu kinahitaji pesa.
Utasikia mungu kila mtu anamleta mtoto na bakuri yake.