Hivi JF kuweka avatar ya jinsia ya Kike kama wewe ni wakiume ni dhambi?

T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,190
2,323
Kama ilivyo facebook, Instagram,whatsapp, Twitter au Forums nyingine
Watu wanaweza kuweka avatar za wapenzi wao, watoto au watu wanaowakubali.

Kwenye hili jukwaa imekuwa tofauti sana ukiweka avatar ya jinsia ya kike basi watu wana judge straight kuwa ni Ke
Au ukiweka avatar ya kiume wana judge straight kuwa wewe ni me

Nimeshabadilisha account nyingi za Jf(this is personal) na kuweka avatar tofauti tofauti lakini sikuwahi kuweka avatar ya kike zaidi ya hii, naona kama kuweka avatar hii imekuwa tatizo sana humu au ni dhambi kuweka hii avatar????

I'M A MAN.
 
Watakufata PM.kukutongoza
 
You may be a man by gender but you sound a female by your writtings here at Jf. I just crossed at one of your thread here, i just couldnt figure out your gender.

If your gender cant be easily determined, you become a female by default.
Mkuu niambie hiyo post
 
  • Thanks
Reactions: 247
Hujaandika kwa kukusudia kitu kweli?? Haya, tutajitahidi kukumbuka weye ni A MAN ka ulivyo jiita. Swali la kizushi tu; Kwa nini upende kuwafikirisha wenzio?? Kweli hiyo picha uloweka hapo wanachama wa Chaputa si inawawezesha tuu??? Sorry.
 
Mimi naona ni dhambi tu , kwanini uweke ilihali wewe ni wa kiume?

Halafu tofautisha Fb, Instagram na JF. Fb na Insta hata ukiweka picha ya mwanamke jina lako na post zako Zitakutambulisha wewe ni jinsia gani, Tofauti na humu ndani Avatar yako itatutambulisha jinsia yako ila ni ngumu Kujua jinsia yako kwa Post zako na hata ID yako.

Mimi naona kama wewe ni Me basi weka Avatar inayoendana na jinsia yako kuliko kuweka avatar itakayokuletea usumbufu wa PM.
 
Kwani avatar si Identity bhn.,, Sasa na wew kwa nn upende kujidefine kama KE akati wew ME.,, There r several discussions zinazohusisha gender humu., so tuku define vipi.,??

Otherwise umeamua purposely kupata ususmbufu unaoupata., Watu kukudefine kama KE..!!
 
Back
Top Bottom