Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Salam,
Nimemskia prof. Mruma Jana alipokuwa anaunguruma pale Ikulu Wakati wa uwasilishwaji wa ripot ya makinikia.
Ametaja madini mengi sana ambayo ni sehemu ya kinachoitwa machanga unaokwenda kuchenjuliwa. Mpaka akataja na lithium ambayo hatukuwahi kujua kama tunayo hapa. Lakini, hakutaja uchafu unaobaki kwenye kila container ni kiasi gani?
SWALI??
Je, ina maana ule mzigo wote unaoondoka hapa ni mali tupu?? Ina maana hakuna takataka?? Na Kama kuna uchafu kwa miaka yote hii wanautupa wapi??