ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Mnamo mwaka 1997 na 2015 wapinzani wa nchi hii waliweka rekodi mbaya kabisa kwa kupitisha miswaada ya sera ya madini na 2015 wakapitisha muswada wa sera ya gesi na petroli
Ni miswaada mibovu isiyo na maslahi kwa taifa bali matumbo machache ya wapinzani hao wasiojali utu wa watanzania
sasa Mwenyekiti wa ccm ameliona hilo na kaanza ku deal na suala la madini,issue hii imepokelewa kwa vigelegele sana na wana ccm nchini kote maaana kipindi wapinzani walivyoitikia NDIYOOOOOOOOOOOOO pale bungeni iliwauma sana
Asanteni sana wazalendo wa ccm tuko pamoja sana