cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,568
- 5,503
Kuna hii upatu Mpya umeanza unaitwa AMWA au amka mwanamke a new PONZI scheme ni kua serikali haioni au had I wananchi waumie kama case ya desi ndo iingilie kati...mbaya zaidi hawa Jamaa hawana hata ofisi na Ela yote yapitia kwe mabenki kwa trend inavyoenda naona wamama watu wengi sana wataumia