Nokia yaanza kuuza tena nokia 3310 aka jeneza

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,171
1,580
kampuni ya nokia imeanza tena kuuza nokia 3310 baada ya kupotea muda mrefu

cm hizo zimekuja na internet ya 2G na.camera megapics 2.2

pia zina uwezo wakuka na chaji masaa 22 pia yaweza kukaa mwezi isipo tumika sana
cc8d6b8fb82a24d70c678d68ebe2bc8f.jpg


nokia wamesema bei yake kwa.sasa ni $60
 
Wameshafel hawa
Hyo hata haina mvuto
Wa kuitumia ile ya zaman ndo tamu
 
REminds me of my phone 2001 3310
Tz zinaingia lini nijikumbushe na jeneza
 
Ila dola 60 ni approx Tshs 135,000/- ambapo unapata Huawei/Techno android 3G safi.

Wamefeli hawa, mi nasubiri Nokia 6.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom