Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna baadhi ya sehemu watanzania wanalipia chapa ya ng'ombe shilingi 3000 kila ng'ombe na nilazima.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sijaenda kwenye hospitali za serikali sababu ya figisufigisu, siku nzima inapotea kwenye benchi la kumuona dokta. Mwishoni mwa wiki iliyopita nilifika hospitali ya mkoa ili nipate...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia Simba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), amekuwa akisemwa wakati mwingine kwa mafumbo kuhusu masuala ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
TGIF-Katika vita ya utashi na maarifa ,anayeshindwa ni yule mwenye uwezo mdogo wa maarifa na utashi na mshindi ni yule mwenye hazina ya maarifa na mbinu za ushindani. Naitizama Tanzania yangu na...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukijiunga kwa tsh 500 wanakupa 500mb na 100mb zakutumia usiku. Hapo ndio sielewi usiku wa saa ngapi na wala huwezi angalia salio. Nimejiunga saa 5 usiku, naangalia salio wanaanza kukata kwenye...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Ukipewa Laki 3 ufanye kitu izae utafanyia kitu gani? Serious answers please kuna vijana wengi watafaidika na hili swali..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimelazimika kuandika uzi huu baada ya kusoma nyuzi nyingi kuhusu suala la Mchanga linalotokana na report ya tume maalum iliyoundwa na Mh. Rais P. Magufuli. Kumekuwa na mgawanyiko...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Elimu ni moja ya silaha bora kabisa ambayo mwanadamu anatakiwa kuitumia katika kuibadilisha jamii iliyokata tamaa na kuifanya kuwa jamii yenye tumaini jema. Elimu bora ni ile inayotumika kumfuta...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Here, don't be late anymore." By Steven Paul Jobs. Y.O.L.O-Steven Paul Jobs alikuwa mwanzilishi wa kampuni ya Apple Inc. ,alizaliwa mnamo February 24, 1955 na amefariki akiwa na utajiri wa $19...
13 Reactions
18 Replies
5K Views
1. Makete -mita 2300. 2.loliondo - mita 2300. 3.Njombe - mita 1920. 4. Mafinga - mita 1850. 5. Sumbawanga - mita 1800. 6.Mbeya - 1700.
15 Reactions
97 Replies
32K Views
Sasa kumekuwepo na sintofahamu ya nani mchoraji hasa wa nembo ya taifa hili kubwa; na lenye historia iliyotukuka. Hii ni baada ya kuibuliwa kwa mgonjwa aitwae mzee Ngosha ambaye sasa amelezwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Viongozi wa serikali wa ngazi za juu wanaapa kwa misingi ya katiba na dini zao, ila wanapoachia ngazi (kujiuzulu au kutumbuliwa) hawasemi juu ya msaada walioomba kutoka kwa Mungu kama waliupata au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakina mama mnatisha kwa KUFICHA HELA CHUMBANI! Kwa kweli wanaume wenzangu kila nikipata fursa ya kufanya usafi chumbani kwetu au kutafuta kitu fulani kwa makini, LAZIMA nitazifuma alfu 20,30...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kampala, Uganda. Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 37 ametoa changamoto kubwa kwa wanawake wengine baada ya kuzaa watoto 38 na kuweka rekodi barani Afrika huku akishika nafasi ya tisa duniani...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Kama title inavyosomeka wadau nisipoteze muda nijikite moja kwa moja kwenye swali na ukizingatia nimerudi nchini tu hivi punde. Swali: Nasikia watu wakilalamika hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
#MADINI Na UMEME nitafupisha nukta chache sana kuhusu umeme ktk KHILAFAH 1. Aina zote za nguvu za moto zenye kutumiwa na jamii au mambo yanayo husika na nguvu hizo ni marufuku kubinafsishiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Nimepata taarifa kuwa Mzee Hamis Chifupa, baba wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Amina Chifupa amefariki dunia. Pichani ni Mzee Chifupa enzo za...
4 Reactions
35 Replies
9K Views
Wakuu, kumekuwa na matukio wakadha wa mtu kujiua, mtu kuua na kujiua aidha mchumba/mke wake, rafiki yake,wazazi wake kwa kutumia pastola au bunduki. Lakini hili la kuua na kujiua papo hapo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nitakuwepo Dodoma badly a monthly, kwa muda mchache niliokuwepo huku kuna vijana wanatumia pikipiki kuwavizia watu wakiwa wanarudi nyumbani na kuwadhuru na kuwanyanganya vitu vyao.. Hawa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za masiku wakuu na kwa waliofunga Mwenyezi Mungu awajalie mmalize salama. Labda niende kwenye point husika. Mimi ni kati ya watanzania wengi tunaotumia bima za afya za NHIF. Bima hizi...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…