Challenge hii kwa vijana

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Ukipewa Laki 3 ufanye kitu izae utafanyia kitu gani? Serious answers please kuna vijana wengi watafaidika na hili swali..
 
nna banda langu kwa mzee pale yaan hapo ni ufugaji wa kuku Wa kienyeji mpaka nipate utajiri
 
Nitanunua mashuka 10 yanayouzwa jumla kwa elfu 30,
Nitauza kwa bei ya 45000 kila moja...


Nitanunua magauni sketi na brauz za mtumba na kupeleka vyuoni



Nanunua Lace wig kwa luluzhair
Jeans kwa azizi
Natengeneza kucha na kope.
Halafu naenda Next Door
 
Nakula wali maharage,pilau kuku,choda kwa sana nyingne nanunua nguo inayo baki na bet ilikuongeza nyingine
 
Back
Top Bottom