Kwenye kuapa 'Mungu nisaidie', kwenye kuachia ngazi kimya; kulikoni?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,608
6,820
Viongozi wa serikali wa ngazi za juu wanaapa kwa misingi ya katiba na dini zao, ila wanapoachia ngazi (kujiuzulu au kutumbuliwa) hawasemi juu ya msaada walioomba kutoka kwa Mungu kama waliupata au shetani ndio kavuruga mambo hayo.

Mfano barua hii ya Prof. Muhongo ya kuachia ngazi nafikiri kwenye paragraph ya pili ya sehemu kuu ya barua ilibidi atoe mrejesho pia juu ya msaada alioomba kutoka kwa mungu/ Mungu wake.

index-jpeg.513836


source ya barua: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo
 
Back
Top Bottom