mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,676
- 3,805
Ni muda mrefu sijaenda kwenye hospitali za serikali sababu ya figisufigisu, siku nzima inapotea kwenye benchi la kumuona dokta. Mwishoni mwa wiki iliyopita nilifika hospitali ya mkoa ili nipate ED, maana Mzee wa chato amefanya ofisi ziwe za moto! Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye foleni, kwakweli sikuhisi uchovu! Na sababu kubww ni miondoko ya manesi waliokuwa wakikatiza! wenhine matumbo yametangulia mbele, wengine wametanua miguu, yaani miondoko mingine hata haielezeki! Hivi sababu ni nini? Maana naamini hawakuwa na miondoko hiyo kabla ya kuanza hiyo kazi. Na imeshaanza kuniogopesha!!