Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,072
Habari za masiku wakuu na kwa waliofunga Mwenyezi Mungu awajalie mmalize salama.
Labda niende kwenye point husika.
Mimi ni kati ya watanzania wengi tunaotumia bima za afya za NHIF. Bima hizi zimetusaidia sana hasa kipindi ambacho hauna pesa mfukoni na umepatwa na maradhi lakini tatizo ni kwamba kwanini nikitaka kupima ugonjwa wa Typhoid (Homa ya Matumbo) inapaswa nitoe tena pesa mfukoni wakati nakwatwa pesa nyingi tu kila mwezi na inaweza ikapita hata miezi sita sijaugua.
Naombeni wakuu mwenye ufahamu wa hili anieleze na kama ikiwezekana tupaze sauti juu ya hili swala.
Asanteni wakuu.
Ramadhan Kareem.