Free Msaada kwa Dodoma residents Just a Month

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,909
Wakuu nitakuwepo Dodoma badly a monthly, kwa muda mchache niliokuwepo huku kuna vijana wanatumia pikipiki kuwavizia watu wakiwa wanarudi nyumbani na kuwadhuru na kuwanyanganya vitu vyao..
Hawa vijana wana pikipiki na wakikusimamisha wanakupiga panga. Nisiongee mengi.
Najitolea kwa kipindi nipo huku ukiona aina yoyote ya aina hiyo niambie. Mwenye hitaji ya mawasiliano pm.
 
Ni wito wa kusaidia ....ukiona kuna watu wamepakizana kwenye pikipiki wanakufuatilia hao ni wezi
 
Ebu niambie jinsia yako, na kama itakua ni ile inayo fanana na pale nilipo nyenyua matofali na kuweka bati...... Nitakupa pakupomzika bure kabisa.
Karibu area C karibu na NAM hotel
 
Ebu niambie jinsia yako, na kama itakua ni ile inayo fanana na pale nilipo nyenyua matofali na kuweka bati...... Nitakupa pakupomzika bure kabisa.
Karibu area C karibu na NAM hotel
Umempatia sana, anataka hifadhi huyo...aka punga
 
Ni wito wa kusaidia ....ukiona kuna watu wamepakizana kwenye pikipiki wanakufuatilia hao ni wezi
Mkuu utaacha watu wasio na hatia wauawe. Yaani pikipiki zilivyonyingi kwa sasa ukiona kuna pikipiki nyuma yako ina watu wawili ni wezi?
 
Mkuu utaacha watu wasio na hatia wauawe. Yaani pikipiki zilivyonyingi kwa sasa ukiona kuna pikipiki nyuma yako ina watu wawili ni wezi?

Mkuu kuna matukio watu wanapigwa mapanga na kuibiwa vitu vyao sana Kwa hiyo nachokiongea nakijua
 
Back
Top Bottom